Baada ya Kutumia Bangi Kwa Miaka Mingi, Snoop Dogg Kuacha Uvutaji

Baada ya Kutumia Bangi Kwa Miaka Mingi, Snoop Dogg Kuacha Uvutaji


Kwa mara nyingine, 'Rapa' na Nyota wa Muziki wa #HipHop, kutoka Marekani, #SnoopDogg ametangaza kuachana na Uvutaji wa Bidhaa za Moshi

Kupitia kurasa za #Instagram na 'X', 'Staa' huyo kutoka #WestCoast amesema anaacha Uvutaji ikiwa ni baada ya majadiliano na Familia yake, hivyo anaomba Faragha yake iheshimiwe juu ya uamuzi huo

Mwaka 2002, Snoop alitangaza kuachana na Bangi lakini siku 40 baadaye alirejea katika matumizi ya kilevi hicho. Hata hivyo, baadhi ya Watu wamedai Snoop anatania tu na kwamba hawezi kuacha kuvuta.

Vipi Shabiki wa Snoop, unadhani awamu hii atafanikiwa kuacha Uvutaji?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad