Baba Levo Apata Mtoto wa Kiume, Ampa Jina la Diamond Platnumz

 

Baba Levo Apata Mtoto wa Kiume, Ampa Jina la Diamond Platnumz

Chawa wa Diamond Platnumz, Baba Levo ameshea nasi kuwa amepata mtoto wa kiume na kumpa jina la bosi wake, Platnum.

Baba Levo ameposti picha ya mtoto wa kiume (sio mwenyewe lakini) na kumshukuru Mungu kupata mtoto wake huyo wa kiume.

"KWA KIHEREHERE NILICHONACHO SIJUI KAMA #PLATNUM ATAFIKISHA AROBAINI SIJAMPOST…!! Ntakuwa Nishampeleka Kwa BABU YAKE @diamondplatnumz," aliandika Baba Levo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad