Bayern Wamtambulisha Kiungo Mtanzania Kutoka Kigoma

 

Bayern wamtambulisha Kiungo Mtanzania Kutoka Kigoma

Klabu ya Bayern Munich ya vijana kupitia ukurasa wake wa instagram wa FC Bayern Campus imemtambulisha kiungo mshambuliaji nyota mzaliwa wa Kigoma Tanzania Nestory Irankunda mwenye uraia wa Australia pia kujiunga na kikosi hicho.


Irankunda ataanza kuitumikia klabu ya vijana ya Bayern Munich kabla ya kujiunga na kikosi cha wakubwa kama uwezo wake ukiendelea kuwa mkubw

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad