BREAKING; Mamelodi wabeba Ubingwa African Football League

 

Mabingwa wa Kombe la AFL


Klabu ya Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa kombe la Afrika ‘AFL’ kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Wydad Casablanca kwenye fainali ya Mkondo wa pili leo Novemba 12

Fainali ya kwanza iliishuhudia Wydad ikishinda 2-1 nyumbani Mohamed V, Morocco kabla ya Sundowns kushinda 2-0 kwake Loftus Versfeld, Pretoria Afrika na kuandika historia kuwa klabu ya kwanza kutwaa kombe jipya la African Football League.

Kwa kujihakikishia Ubingwa Klabu ya Mamelodi itajinyakilulia kitita cha Dola za Kimarekani Milioni 4 kama zawadi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad