BUNDESLIGA: Harry Kane Anazidi Kupendeza, Afikisha Magoli 17

 

S

BUNDESLIGA: Harry Kane Anazidi Kupendeza, Afikisha Magoli 17

traika wa #BayernMunich, #HarryKane ameendelea kuwa na mwanzo mzuri katika klabu yake mpya baada ya kufikisha magoli 17 katika Ligi Kuu ya Ujerumani (#Bundesliga) ndani ya michezo 11 Msimu wa 2023/24 na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli mengi ndani ya muda mfupi katika ligi hiyo

Amefikisha idadi hiyo kwa kufunga magoli mawili katika ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya #Heidenheim, Novemba 11, 2023 wakati takwimu zake katika michuano yote amefikisha magoli 21 aliyofunga

Kane ameipita rekodi iliyowekwa na #RobertLewandowski aliyefunga magoli 16 katika mechi 11 Mwaka 2019 akiwa Bayern

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad