CAF na FIFA Wanaiangalia Tanzania Kwa Jicho la Tatu, Tumekuwa


Ukiangalia ligi ya Kenya, ligi ya Uganda, ligi ya Rwanda bado ligi ya Tanzania ina msisimuko mkubwa sana. Na katika hivyo ndio maana hata CAF au FIFA wanaiangalia Tanzania kwa jicho la tatu kutokana na mafanikio ambayo yamepatikana kwa timu za Taifa zote ya wanawake na wanaume lakini vilabu kama Simba, Yanga na Azam vinafanya vizuri sana katika bara la Afrika kwa maoni yangu naona tuko vizuri na tumekua" - @pjsweya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad