Dulla Mbabe Apigwa Tena na Katompa

 

Dulla Mbabe Apigwa Tena na Katompa

Bondia Abdallah Pazi “#DullahMbabe” ameendeleza unyonge kwa kupoteza kwa mara ya pili dhidi ya #EricKatompa wa DR Congo katika pambano lisilo la ubingwa la Uzito wa Super Middleweight lililofanyika #Arusha


Katompa ameshinda kwa pointi baada ya majaji watatu kumpa ushindi wa Pointi 93-97, 93-97 na 92-98


Baada ya pambano, Dullah amesema “Sijui Majaji au Chama cha Ngumi wana nia gani na mimi kwa kuwa nimecheza vizuri na mashabiki wameona kilichotokea.”


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad