Fiston Mayele Atajwa Kawania Tuzo Mbili tuzo za CAF

Mfungaji bora wa CAFCC na NBCPL msimu wa 2022/23 Fiston Kalala Mayele ametajwa kuwania tuzo mbili kwenye orodha ya tuzo zitakazotolewa na CAF mapema mwezi Disemba !

1. Mchezaji bora wa mwaka wa kiume Afika
2.Mchezaji bora wa mwaka wa Ligi za ndani .

Katika tuzo hizo mbili ipi unaona ana nafasi ya kushinda ____? au zote ___?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad