Gigy Money kupiga shoo Canada

Gigy Money kupiga shoo Canada


Msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy' ametangaza kuelekea nchini Canada kwa ajili ya kutoa burudani kwa mashabiki wake wa huko.


Gigy Money ambaye hivi karibuni ameachia EP yake, Chafu 3, anatarajia kufanya kufanya show Canada mnamo Machi 2, 2024.


Gigy ametrend kwenye mitandao ya kijamii tangu mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya video zake za utupu kusambaa mitandaoni huku yeye akionyesha kutokujali kutokana na suala hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad