Gigy Money: Mimi Huwa Naongea na Mungu Moja kwa Moja

 

Gigy Money: Mimi Huwa Naongea na Mungu Moja kwa Moja

Mrembo anayefanya Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' amesema yeye haamini katika ushirikina na badala yake, huwa anawasiliana na Mungu moja kwa moja.


Gigy ametoa kauli hiyo alipokuwa anafanya mahojiano na Clouds FM usiku wa jana.


“Katika maisha yangu sina imani na ushirikina … Wala sijakaa kushikilia dini tu … Mimi huwa naongea na Mungu moja kwa moja na ananijibu haja zangu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad