Habari Mbaya, Mmoja Afariki Dunia Ajali ya Msanii Chino Kidd


Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeer ambaye alikuwa ni Dereva wa gari lililombeba mwanamuziki @chino_kidd7 na wenzake amefariki dunia

Nabeel amefariki dunia Alfajiri ya leo kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo siku ya jana

Ameandika ..✍️.. Producer Abba kuhusu kifo cha 'Nabeel' aliyekuwa dereva kwenye safari hio ya kuelekea moshi kwenye show,

 @abbah_process , 'Rest in Peace brother,Tumepoteza Mwanafamilia Mmoja Aliyekua kweye Ajali ya jana, May God embrace him in his loving arms and grant him

#RiPNabeel

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad