HAJI MANARA amkana ZAYLISSA, afunguka baada video zao kusambaa, waitana kaka na dada

HAJI MANARA amkana ZAYLISSA, afunguka baada video zao kusambaa, waitana kaka na dada

HAJI MANARA amkana ZAYLISSA, afunguka baada video zao kusambaa, waitana kaka na dada

Ameandika haya Haji Manara:

Naifuatilia sana Tamthilia ya Dada yangu @lamataleah ya Jua kali na Moja ya Muigizaji anaenikosha kumwangalia ni huyu msichana @zaiylissa

Ni Mshabiki wake hasa na ndio maana juzi nilipomuona katika Show ya Dvoice nikamuomba tukae wote pale Ukumbini The Dome!!

Ila Waja kama Mnavyowajua ukikaa na Mtu au kucheza nae ishakuwa shughuli.

Nb::( Mnaowahi kucomment taratibu msinisukume basi )

Na Ole wako Uswipe video ya Mdogo wangu Pls

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad