Harmonize arusha kijembe baada ya video ya #Komando ya @gnakowarawara ft @diamondplatnumz kutoka.
"Ni vile tu @gnakowarawara ni mtu wa watu,hanaga noma,Haya mambo hayamuhusu,wimbo umepostiwa kama tuzo tatu,congrats bro ila hatujaliza" @harmonize_tz
Unahisi Harmonize ana maana gani...?tembelea YouTube channel yetu ya Middle simba kupata taarifa nyingi zaidi.