Harmonize Arusha Kijembe Baada ya VIDEO ya Komando Kutoka



Harmonize arusha kijembe baada ya video ya #Komando ya @gnakowarawara ft @diamondplatnumz kutoka.

"Ni vile tu @gnakowarawara ni mtu wa watu,hanaga noma,Haya mambo hayamuhusu,wimbo umepostiwa kama tuzo tatu,congrats bro ila hatujaliza" @harmonize_tz

Unahisi Harmonize ana maana gani...?tembelea YouTube channel yetu ya Middle simba kupata taarifa nyingi zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad