Harmonize Atangaza Kushika Namba Moja Trending Youtube Hadi 2024

Harmonize Atangaza Kushika Namba Moja Trending Youtube Hadi 2024

Harmonize Atangaza Kushika Namba Moja Trending Youtube Hadi 2024

Msanii wa muziki wa bongofleva @harmonize_tz amedai kuwa atakaa namba moja kwenye digital platforms zote kuanzia sasa hadi January 2024 ikitokea ametoka basi atakua amemuachia msanii mwenzake wa label yake @ibraah_tz.

Mbali na kusema hayo Harmonize amewashukuru mashabiki zake(Kondegang FC) kwa upendo na sapoti yao kwenye muziki wake kitendo kilichopelekea wimbo wake wa #Sijalewa kushika namba moja kwenye mtandao wa YouTube.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad