Harmonize: Sijajua Kama Diamond Naye Alishinda Tuzo za AEAUSA

 

Harmonize: Sijajua Kama Diamond Naye Alishinda Tuzo za AEAUSA

Staa wa Muziki Harmonize amefunguka kuhusu Tuzo ya #Aeausa aliyoshinda Staa #DiamondPlatnumz na kusema kuwa hajajua kama Staa huyo nae alishinda Tuzo hiyo kwani yeye alikuwa Backstage akijiandaa na kutumbuiza hivyo hakusikia kama ametajwa.


Akiwa katika mahojiano na #Efm , Harmonize amesema..


"Kiukweli wakati tuzo zinaanza kutolewa mimi nilikuwa Backstage nikijiandaa kuperform kwahiyo kama alitajwa mimi sikujua"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad