Harmonize: Taifa Linahitaji Mchango Wangu Kuuvusha Muziki wa Bongo Flava nje




Harmonize amedai kuwa Taifa linahitaji mchango wake mkubwa ili kutimiza ndoto za Watanzania wengi, ikiwa ni pamoja na kuwaona wasanii wa Bongo wakijaza viota mbalimbali vya burudani nje ya nchi kama wanavyofanya Wanigeria.

"Nimeamua kuupa muziki wangu nafasi kubwa na ya kipekee, suala la mahusiano nimeliweka pembeni kabisa mpaka nihakikishe BONGO FLEVA imefika ninapo paota".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad