Hatimaye Gigi Money Afanikiwa Kurudisha Account yake ya Instagram, Awashukuru Hawa


Hatimaye Gigi Money Afanikiwa Kurudisha Account yake ya Instagram, Awashukuru Hawa
Habari Watanzania na mashabiki zangu wote
Napenda kuwatangazia kuwa Account yangu hii imerudi rasmi katika mikono yangu toka September 30 hadi leo..
Kwanza Ashukuriwe Mungu kwa kila kitu..

Shukurani za dhati kwa @ramangozi kwa kufanikisha account hii kurudi Daah sina namna ya kukuelezea wewe Bro ni mtu na nusu,hukukata tamaa kabisa hata pale matumain yalipokua madogo kwang umenipa moyo na kuniaminisha unaliweza kuwa account itarudi..Ahsante IT Master ...🙏
Pia shukrani zangu za kipekee ziende kwa @macdemelo hakika neno la la kwanza liliongezea nguvu mno na umefanya kikubwa mno,jeshi la polisi Tanzania @polisi.tanzania Mamlaka ya mawasiliano @tcra_tanzania na @tigo_tanzania kwa kunipa ushirikiano mzuri

Shukrani zangu za mwisho ziende kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuanzia ushauri na vitendo yaan Familia ,marafik na mashabiki cwez kuwataja wote lakini kwangu nyie mna thamani kubwa ahsanteni sana..

Hii siku ni moja kati zile siku nilizowahi kuwa na furaha, nimepitia mengi mabaya kwa kupatwa hili tatizo ukizingatia ni moja ya sehemu muhimu niliokua nategemea kujipatia kipato....
Sina namna ya kuwashukuru zaidi ya neno ahsanteni sana....
GIGY MONEY AM BACK .....🔥🔥

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad