Hawa Hapa Makipa Walioruhusu Magoli Mengi Katika Mechi Moja Ligi Kuu




Hawa ndio makipa walioruhusu magoli mengi kwenye mechi moja hadi kufikia mzunguko wa tisa wa ligi kuu NBCPL .

1. Aish Manula | Simba SC
2.Wilbol Maseke | KMC
3. John Mwanda | JKT Tanzania

Maafa yote haya yamesababishwa na Yanga SC na mechi zote nyavu zilicheza mara tano 🖐️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad