Irene Paul "Wasiotengeneza Shepu Hawana Hela"

 

Irene Paul "Wasiotengeneza Shepu Hawana Hela"

Nyota wa 'Bongo Movie' Irene Paul amesema kuwa mtu anayesema hawezi kutengeneza shepu hana pesa ukiwanazo utatengeneza tu.

Akizungumza nasi, jijini Dar es Salaam, Irene amesema kuwa unaesema huwezi tengeneza shepu huna kama unazo milion zako 20 unatengeneza vizuri sana.

"Wanaosema hawataki kutengeneza shepu hawana pesa kama mtu unazo unatengeneza napenda sana alivyotengeneza Tanasha Donna (Msanii kutoka nchini Kenya) amependeza shepu inaendana na mguu sio wengine wanatengeneza shepu hilo miguu membamba kwangu Tanasha kupendeza mno," amesema Irene Paul

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad