Kauli Tata ya Mwanamuziki Rayvanny yazua taharuki "Kila lenye mwanzo lina mwisho"

Kauli Tata ya Mwanamuziki Rayvanny yazua taharuki "Kila lenye mwanzo lina mwisho"


Staa wa muziki Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ambao umewashangaza wengi baada ya kusema hivi..


"Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho. Siamini kama huu ni mwisho ila naziona Dakika za mwisho.


"Tulianza pamoja! Tulifurahi, tulishinda sana, Ila acha tumalize Dakika za mwisho pamoja kesho #Dakikazamwisho," amesema Rayvanny.


Je unafikiri nikipi anachokiimaanisha #Rayvanny?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad