Web

Kimeumana! Rayvanny, Harmonize Kuachia Ngoma Siku moja

Kimeumana! Rayvanny, Harmonize Kuachia Ngoma Siku moja


Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametangaza kuachia Project yake mpya Five For You ambapo ataachia ngoma 5 ndani ya siku moja ya Novemba 24,2023.


Tarehe hiyohiyo, Staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul 'Harmonize' naye alitangaza kuwa ataachia Album yake ya Visit Bongo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad