Kipa Diarra awania Tuzo ya Golikipa Bora CAF 2023

Kipa Diarra awania Tuzo ya Golikipa Bora CAF 2023

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemtaja Golikipa wa Yanga SC na Timu ya Taifa ya Mali, Djigui Diarra kuwa miongoni mwa magolikipa 10 wanaowania Tuzo ya Golikipa Bora Mwaka 2023 Barani Afrika.

Orodha ya wanaowania Tuzo hiyo itazame hapa chini

Kipa Diarra awania Tuzo ya Golikipa Bora CAF 2023

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad