Kocha Gamondi Agoma Gift Fredy Kuondoka Yanga

 

Kocha Gamondi Agoma Gift Fredy Kuondoka Yanga

Beki wa kati wa klabu ya Yanga, Gift Fred inatajwa kuwa bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya Kocha wa Yanga Master Miguel Gamondi.


Miguel Gamondi anaamini kuwa Gift Fred ni future kwa klabu ya Yanga, amesisitiza kutoondolewa klabuni hapo.


Gift (25) amesajiliwa na Yanga msimu huu akitokea SCV Kampala ya nchini kwao Uganda lakini tangu ajiunge na Wananchi hajapata nafasi ya kuanza katika kikosi cha Gamondi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad