KOCHA Gamondi Anahitaji zaidi Ushindi Kuliko Robertinho

 

KOCHA Gamondi Anahitaji zaidi Ushindi Kuliko Robertinho

MASTER Gamondi akifungwa tena na Simba itamshusha sifa, kashafungwa Tanga…

“Yanga wanahitaji zaidi matokeo ya ushindi kuliko Simba sababu watakuwa wamezidiwa point nyingi kama watapoteza.”

“Gamondi akipoteza utamshusha thamani, kwa Robertinho akipoteza ni rahisi kumuelewa sababu alishawafunga Yanga lakini sio kwa Kocha Gamondi ambaye ameanza kupoteza mbele ya Mnyama Simba tangu Tanga na Jumapili akifungwa haitakuwa nzuri kwa upande wake.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad