Kocha Nabi Afiwa na Baba yake Mzazi, Haji Manara Aandika Haya


Nimepokea Taarifa sasa hivi Kocha wetu zamani wa Yanga Professor @nabinasreddine amefiwa na Baba yake Mzazi huko Monastir nchini Tunisia Asubuhi ya leo.

Nimeongea na Kocha Nabi Mchana huu pamoja na Bernard Morrison @bm3gh kunipa taarifa hizi ili niwajulishe Watanzania na Washabiki wetu ambao walikaa na Kocha Nabi vzuri mno!

Kwa leo Nabi hatakaa jukwaani team yake itakapokuwa ikicheza mechi ya ligi na tayari maandalizi ya kwenda kwao Tunisia kuwahi msiba yanaendelea.

Kwa niaba yenu nimempa pole nyingi Kocha wetu ambae amejawa na huzuni ya kumpoteza Baba yake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad