Mambo ni Moto Vita ya Ufungaji Bora Msimu huu NBCPL

Mambo ni Moto Vita ya Ufungaji Bora Msimu huu NBCPL


Magoli 7 kimiani kila mmoja wao mpaka sasa kwenye ligi kuu. Tayari vita ya mfungaji bora imeshakuwa tamu na nzito baada ya nyota watatu kulingana kwa magoli mpaka sasa


Jean Baleke- Simba SC 7 Ki Aziz Stephane- Yanga SC 7 Max Nzengeli- Yanga SC 7


Msimu uliopita vita ya ufungaji bora ilienda mpaka mechi ya mwisho ikiwahusisha Fiston Mayele aliyekuwa Yanga SC na Mrundi Saido Ntibazonkiza wa Simba SC.


Msimu huu mambo yamekuwa ya moto mapema sana. Watu wanafunga sana


Nani unamuona akiondoka na tuzo ya mfungaji bora wa ligi kuu mwisho wa msimu???...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad