MBUNGE: Rais Avunje Baraza la Mawaziri, Wameshindwa Kuwawajibisha Wabadhirifu



Akichangia mjadala wa Uchambuzi wa Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Mbunge wa Songwe amesema anashangazwa na utaratibu wa baadhi ya Mawaziri kuendelea na shughuli nyingine ikiwemo kuongea na Simu wakati mjadala huo unaendelea na wakati huo wameshindwa kuchukua hatua dhidi ya Waliofisadi Fedha za Umma

Mulugo amesema "CAG amekagua na kusoma Ripoti mbele ya Rais, lakini baadhi ya Mawaziri wanatetea wizi wa wazi kwenye Ripoti hii, mnatetea nini? kama ni hatua si mngechukua huko huko na yasingekuja hapa? Wabunge tunaomba tuwe huru tujadili jambo hili kubwa kwa Uhuru"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad