Mbwana Samatta Afunga Goli Muhimu Kwa Timu yake Michuano ya EUFA League


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania,Mbwana Samatta ameifungia goli muhimu timu Klabu yake ya Paok usiku wa kuamkia leo kwenye mashindano ya Eufa conference league akiingia sub dakika ya 64" ndani ya dakika tatu [Dakika ya 67" ]Akaifungia goli la pili timu yake na kuwapa uhakika wa kusonga mbele .

FT : PAOK 2-2 Aberdeen
⚽️Taison 23’
⚽️Samatta 67’

⚽️Duk 14’
⚽️McGrath 70’

Paok bado wana mchezo kwenye kundi lao kama wakimaliza nafasi ya kwanza uhakika kwenda. 8 bora ,nafasi ya pili wataanzia 16 bora

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad