Mchengerwa Awasimamisha Kazi DED Ifakara na Kibaha

Mchengerwa Awasimamisha Kazi DED Ifakara na Kibaha

Wazir wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha kazi wakurugenzi wawili wa halmashauri kuanzia Novemba 20, mwaka huu ili kupisha uchunguzi.

Wakurugenzi hao ni Butamo Ndalahwa wa halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani Morogoro Lena Nkaya

Mchengerwa Awasimamisha Kazi DED Ifakara na Kibaha

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad