Mke wa Profesa Jay Afunguka 'Nilikuwa Nanyooshewa Vidole Kuwa Nina Ukimwi'


"Kipindi ambacho mume wangu anaumwa nilikuwa napitia wakati mgumu sana. Lakini nilikuwa karibu na Mungu, ndugu walikuwa wakinifariji.

"Maneno ya watu nje yalikuwa mengi. Wakati mwingine unasikia amefariki wakati huo upo nyumbani au njiani unachanganyikiwa unafika hospitali unamkuta yupo sawa.

Nilikuwa nanyooshewa vidole kuwa nina UKIMWI.
Nilishawahi kusingiziwa kila kona kuwa Nina ukimwi. Ni kitu ambacho kimeshakaa nikasema ngoja nimuachie Mungu yeye ndiye anayejua" @mke_wa_profjize

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad