Msukuma aibuka na sakata kilimo cha bangi Bungeni

 

Msukuma aibuka na sakata kilimo cha bangi Bungeni

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku 'Musukuma' ameibua bungeni tena hoja ya kilimo cha bangi akisema kuwa Hanoi haja ya kuizuia badala yake watumiaji wangedhibitiwa kwa kuwa zao hilo ni chanzo cha mapato huku akitolea mfano nchi nyingine zinazonufaika nalo ikiwemo Canada, Colombia.


Musukuma ametoa hoja hiyo bungeni Dodoma leo Alhamisi Novemba 09, 2023 alipokuwa akichangia ambapo amesema kuwa hashabikii bangi ya kuvuta.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad