Mtumishi wa Wizara ya ARDHI Hatiani Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka

Mtumishi wa Wizara ya ARDHI Hatiani Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka


DAR: Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Melchiory Rutayuga Mukandala

Keshi hiyo iliyowasiliswa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetaja makosa ya mtuhumiwa kuwa ni kinyume na Kanuni ya Adhabu na Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329

Mahakama imemhukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 1 kwa kila kosa au kutumikia kifungo cha Miaka miwili Gerezani kwa kila kosa na adhabu zote zinaenda kwa pamoja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad