Rais Samia Awapa Wabunge Ambulence 528





Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari ya kubebea Wagonjwa 528 kwa Wabunge wa Majimbo yote nchini yakiwa na thamani ya Shilingi bilioni 52.06.

Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari ya kubebea Wagonjwa 528 kwa Wabunge wa Majimbo yote nchini yakiwa na thamani ya Shilingi bilioni 52.06. Spika Tulia amewataka Madereva kuyatunza magari hayo “Mheshimiwa Rais ameridhia kuidhinisha shilingi bilioni 52.06 kiwango hiki cha fedha kimenunua magari takribani 528”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad