Rick Ross Amtolea Povu Jada Smith 'Anajidhalilisha'

 

Rick Ross Amtolea Povu Jada Smith 'Anajidhalilisha'

‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #RickRoss amedai kuwa amechoshwa na muigizaji #JadaSmith kutokana na kufichua maisha yake binafsi huku akimtaka mrembo huyo kutafuta mwanasaikolijia.


Kufuatia mahojiano yake ya hivi karibuni na #RollingStone, #Ross ameeleza kuwa hakubaliani na #Jada, kwake anaona kama ni kujidhalilisha, akidai kuwa saikolojia ya mwanadada huyo haiko sawa anahitaji matibabu.


#JadaSmith alishika vichwa vya habari nchini humo baada ya kufichua siri ya kuachana na mumewe #WillSmith miaka 6 iliyopita

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad