Simba Wajitokeza Kwenye Supu ya Wananchi

 

Simba Wajitokeza Kwenye Supu ya Wananchi

Leo ikiwa ni ‘Wananchi Supu Day’ ambapo mashabiki wamekusanyika makao makuu ya klabu hiyo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kunywa supu baada ya kupata zawadi ya ng'ombe kwenye ushindi wa mabao 5-1 Yanga ilipoifunga Simba kwenye Ligi Kuu Novemba 5.


Pichani ni mashabiki waliovalia jezi za Simba wakiwa na mashabiki wa Yanga katika tukio hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad