Sven Vandenbroeck Afunguka "Niko Tayari Kuifundisha Simba"



KOCHA wa zamani wa Simba, Sven Vandenbroeck akizungumza na mtandao wa iDiski Times wa Afrika Kusini:
.
“Niko tayari kufundisha Simba au Afrika Kusini, naijua klabu ya Simba na mazingira yake, wana mashabiki wengi wenye mapenzi na timu.
.
Kocha huyo mwenye miaka 44, alisema matatizo mbalimbali ndiyo yaliyomsababisha kukaa kwenye klabu za Morocco na Algeria kwa muda mfupi.
.
“Pale Wydad nilisaini miezi minne kwa sharti la kubeba ubingwa wa Afrika tukapoteza kwa Ahly, CRB ni tofauti nilikataa kupangiwa timu na viongozi,” alisema Sven ambaye baadhi ya viongozi wa Simba wanaamini misimamo yake itawanyoosha baadhi ya mastaa wao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad