Tetesi za Penzi la Haji Manara na Zaylissa Lamuibua Rushaynah Afunguka Haya


Tetesi za penzi la @hajismanara na muigizaji @zaiylissa zamuibua aliekua mke wa Haji Manara @rushaynah_ na kuandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya video za mume wake huyo wa zamani na Ex wa msanii @dullamakabila kusambaa mitandaoni:-

"Unaweza ukahisi unaumiza watu roho kumbe unajitia aibu mtoto wa kiislam maalim kabisa shame on you,mtu mzima kisheti kama huna wazazi vile,hija unaenda kupiga picha badala ya kufanya toba ya kweli" @rushaynah_

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad