Timu ya Simba Yathibitisha Kupata Kocha Mpya


Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba @ahmedally_, amethibitisha kuwa klabu ya Simba tayari imempata kocha mpya wa kurithi nafasi ya Robertinho na wanatarajia kumtangaza wakati wowote wiki hii.

“Ndani ya wiki hii tunatarajia kumtangaza kocha mpya, tayari tumeshampata sasa hivi tupo kwenye mazungumzo tumalize taratibu zote baada ya hapo tutamtangaza aanze kazi ya kuinoa Simba.”

Hivi karibuni Simba ilitangaza kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Robertinho baada ya kupoteza mechi ya watani wa jadi kwa kipigo cha magoli 5-1.

Unatamani awe kocha gani__________?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad