TMA Watoa Angalizo: Kuna Uwezekano wa Mvua Kusababisha Vifo Nov 22-23, 2023

 

TMA Watoa Angalizo: Kuna Uwezekano wa Mvua Kusababisha Vifo Nov 22-23, 2023

Mamlaka ya Hali ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya Mvua kubwa katika Maeneo ya Mikoa ya Dar es Salaam, #Morogoro, Pwani, #Lindi, #Mtwara, #Tanga na Visiwa vya #Mafia, Unguja na Pemba

Kwa mujibu wa TMA, athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na baadhi ya Barabara kutopitika kutokana na Mafuriko pamoja na Vifo kutokana na Mafuriko

#TMA imewataka Wananchi kuchukua hatua za tahadhari ili kuepuka athari hizo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad