Trending Fashion ya Wasanii Kuvaa Mabwanga

 

Trending Fashion ya Wasanii Kuvaa Mabwanga


Moja kati ya Trending Fashion za wasanii kwa sasa ni kuvaa mabwanga 'Oversize' flani hivi kwenye mitupio yao, mitoko, wakiwa kwenye shows, Special Appearance, Location wana-shoot na matukio mengine ya burudani.


Kwa mfano Bwanga hilo alilovaa African Boy Juma Jux ambalo anasema analigawa kwa sababu anayo mawili.


"Ndugu zangu nani anataka hii jeans ninazo mbili?" - Juma Jux


Unaweza kuvaa bwanga hilo la Jeans kwenye mitoko yako?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad