Unaambiwa Cristiano Ronaldo Amefunga Magoli Mengi zaidi Mwaka 2023



Mchezaji Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 38 amefunga jumla ya mabao 46 mwaka 2023. Ikiwa ni kwenye ligi [Saudi Pro League] na timu ya taifa ya Ureno kwenye michuano ya kufuzu Euro 2024.

CR7 amewafunika Haaland, Mbappe na Kane kwa upachikaji magoli kwenye michuano ya kufuzu #EURO2024 ambapo amehusika katika magoli 11 katika mechi 8 huku kwenye ligi mbele ya Benzema, Neymar, Firmino, Mahrez, Mitrovic na wengine @cristiano amehusika kwenye magoli 20, mechi 12.

Kwa mwaka 2023 Ronaldo amechangia jumla ya mabao 58 katika michezo 50 kwa ngazi ya klabu na timu ya taifa, Ureno 🤯🐐

Ronaldo katika kufuzu Euro:

🏟️ Matches: 8
🚀 Goals: 10
🎯 Assists: 1

Ronaldo katika Saudi Pro League:

🏟️ Matches: 12
🚀 Goals: 13
🎯 Assists: 7

Ronaldo amefunga pia kwenye AFC Champions League, Arab Club Champions Cup.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad