Unaambiwa Diamond Platnumz Ndio Msanii Mwenye Mafanikio Kuliko Wote Tanzania

Unaambiwa Diamond Platnumz Ndio Msanii Mwenye Mafanikio Kuliko Wote Tanzania


Mpaka sasa @diamondplatnumz ndiye msanii mwenye streams nyingi zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2023 kwenye digital platforms zote(overall) huku akiongoza Boomplay,spotify,Youtube na mitandao mingine,ikumbukwe aliongoza pia kwa mwaka 2022.

@diamondplatnumz anawaongoza wasanii wengine nchini Tanzania kwenye upande wa sales(mauzo kwenye digital platforms),pamoja na accolades(awards) kwa mwaka huu 2023 baada ya kuongoza kuchukua tuzo mbalimbali za kimataifa.

Hiyo inamfanya @diamondplatnumz kuwa msanii mwenye mafanikio zaidi nchini Tanzania kwa mwaka huu 2023 mpaka leo November 9.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad