Wananchi Wamiminika Jangwani Kunywa Supu, Eng. Hersi Atoa Chapati 5000

 

Wananchi Wamiminika Jangwani Kunywa Supu, Eng. Hersi Atoa Chapati 5000



Mashabiki nanwanachama wa Klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kunywa supu leo Jumapili Novemba 12 2023 katika ofisi za makao makuu ya klabu hiyo zilizopo Jangwani, Dar es Salaam kama walivyokuwa wametangaziwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad