Wasafi FM, Mjini FM, ZBC zapigwa faini kwa kukiuka kanuni


 Wasafi FM, Mjini FM, ZBC zapigwa faini kwa kukiuka kanuni

Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa


Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha maudhui yasiyozingatia Mila Silka na Maadili ya Mzanzibari kupitia miziki yenye picha zilizokuwa hazina maadili


Aidha, Tume imeipiga Redio Mjini FM 92.5 Faini Tsh. Milioni 10 kwa kurusha matangazo kutoka Dar kwa 90% badala ya Mlandege (Unguja) kinyume na Leseni yao.

ALSO READ: CCM yampongeza Samia kumtumbua Gekul "Akithibitika, ashughulikiwe"



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad