Yanga Kumfunga Al Ahly ni Kitu cha Kawaida Sana, Rekodi Hizi Zinambeba

Yanga Kumfunga Al Ahly ni Kitu cha Kawaida Sana, Rekodi Hizi Zinambeba

Kuelekea mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika CAFCL kati ya Yanga na Al Ahly Jumamosi ya Disemba 2 ,2024

Hizi hapa mechi sita (6) za mwisho ambazo Wananchi wamekutana na Al Ahly, ambapo kati ya hizo wameshinda mechi moja mwaka 2014 wamepata droo mechi moja mwaka 2016 na kupoteza nne .


Ahly 3-0 Yanga | 2009

Yanga 0-1 Ahly | 2009

Yanga 1-0 Ahly | 2014

Ahly 1-0 Yanga | 2014

Yanga 1-1 Ahly | 2016

Ahly 2-1 Yanga | 2016


Rekodi inaonesha Wananchi wamewahi kuichapa Al Ahly ,hivyo matokeo ya aina yoyote yanawezekana kwa sababu hata kumbu kumbu zimekaa sawa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad