Zuchu: Diamond Platinum Ndiye Aliyenitoa Bikra yangu

Zuchu: Diamond Platinum Ndiye Aliyenitoa Bikra yangu


Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu amesema kuwa, mpenzi wake ambaye pia ni bosi wake, Diamond Platnumz ndiye mwanaume wa kwanza kumtoa usichana wake.


Akihojiwa na Wasafi TV siku chache zilizopita, Zuchu amesema kuwa Diamond Platnumz ndio mpenzi wake wa kwanza kwenye maisha yake ya mahusiano, na kudai kwamba jamaa huyo mwenye watoto wanne ndiye alimtoa bikra yake hivyo anafurahia mapenzi yao.


Zuchu na Diamond walikuwa wakificha mahusiano yao kipindi cha nyuma lakini wameamua kuyaanika hadharani kwa sasa ambapo wamekuwa wakijiachia mbele za watu na hata mbele za kamera bila kificho tena.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad