Baba Levo Aibua Madai Mapya ya Lulu Diva na Nandy Kukopi Wimbo wa Mwimbaji Zuchu

Baba Levo Aibua Madai Mapya ya  Lulu Diva na Nandy Kukopi Wimbo wa Mwimbaji Zuchu
Baba Levo

 Baba Levo Aibua Madai Mapya ya  Lulu Diva na Nandy Kukopi Wimbo wa Mwimbaji Zuchu 

Mtangazaji na Msanii wa Muziki Baba Levo amewashtumu mastaa wa muziki Lulu Diva na Nandy kuwa wamecopy wimbo wa Zuchu, Honey.

Siku ya jana Mastaa Lulu diva na Nandy waliachia ngoma yao inayoitwa Mtaalamu ambayo imeandaliwa na Producer LG huku ngoma ya Zuchu Honey ikiwa imeandaliwa na Producer huyo huyo LG.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Babalevo ameandika....

"MMEKOPY JAMANI, WAMAMA WATU WAZIMA MLOKOSA AIBU…!!"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad