Taarifa Kuhusu Basi la Mwendokasi Kuungua Moto, Majeruhi na Chanzo cha Moto

 

Basi la Mwendokasi Lateketea Kwa Moto Kibamba

Basi la Mwendokasi limewaka moto hii leo Desemba 26, 2023, katika eneo la Kibamba Chama, jijini Dar es Salaam ambapo tayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeuzima moto huo.

Taarifa za awali zimeeleza kuwa hadi sasa hakuna mtu aliyejeruhiwa kutokana na moto huo na kwamba chanzo cha basi hilo kuwaka bado hakijajulikana.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad