BREAKING: Rais wa Kenya Willium Ruto Atangaza Kuondoa Visa Kuingia Kenya Kwa Nchi Zote



Rais wa Kenya William Ruto amesema kuanzia January 2024 Kenya itakuwa ni Nchi ambayo Mtu kutoka Nchi yoyote duniani hatohitaji tena VISA kuingia nchini humo.

Akiongea leo December 12,2023 kwenye maadhimidho ya siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Ruto amesema haitokuwa lazima kwa Mtu yoyote kutoka kona yoyote ya Dunia kuwa na mzigo wa kupambania mchakato wa kupata visa ili kuingia Kenya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad